Posts

Showing posts from November, 2022

"TUTAMPIGA YEYOTE ATAKAYEKUJA MBELE YETU" Timu ya mpira wa miguu ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania yaendelea na Mazoezi

Image
Picha Mbalimbali zikionyesha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA FOOTBALL CLUB) wakipokea maelekezo kutoka kwa Kocha Mkuu na kufanya mazoezi katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Mringa  Wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha Na Innocent Natai :Arusha Timu ya mpira wa miguu ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA FOOTBALL CLUB) leo Tarehe 8 Novemba,2022 katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Mringa  Wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha imeendelea kujiada kwa ajili ya kushiriki mashindano ya SHIMMUTA 2022 yatakayofanyika Mkoani Tanga mwanzoni mwa mwezi huu Akizungumza na TPHPA Habari Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Mamlaka Ndg.Remijus Mchunguzi amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri na wachezaji wameonekana kuanza kuzinasa mbinu za Kocha na Kuzifanyia kazi "Wachezaji wote wameonekana kuwa wenye  morali ya kusaka pointi 3 katika kila mchezo unaowajia mbeleni katika michuano hii muhimu, ambazo zitaiweka  timu katika ...