Prof.Andrew Temu aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya wakurugenzi ya TPHPA(Picha na Matukio)

Picha na matukio mbalimbali wakati wa kikao cha kwanza cha bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kilichofanyika Aprili 28, 2023 katika ukumbi wa Ngorongoro Tower, Jijini Arusha, (Picha na Kitengo cha Habari na Mawasiliano TPHPA)