HABARI PICHA:DKT. OSHINGI SHILLA AFUNGUA KIKAO MAALUMU CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TPHPA

 


Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Usajili na Udhibiti wa Viuatilifu Dkt Oshingi Shilla, akisisitiza jambo wakati akifungua Kikao Maalum cha Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kilichofanyika January 20, 2023 katika ukumbi wa Mikutano wa  Mamlaka Hiyo Jijini Arusha . Agenda ya kikao ikiwa ni kujadili bajeti ya Mwaka 2023/2024 ambapo Miongoni mwa vipaumbele vya bajeti ya hiyo ikilenga kulipa mapunjo ya mishahara na madeni ya wafanyakazi(Picha na Innocent Natai)

Picha mbalimbali zikionesha wajumbe wa Kikao Maalum cha Baraza la wafanyakazi la Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kilichofanyika January 20, 2023 katika ukumbi wa Mikutano wa  Mamlaka Hiyo Jijini Arusha  wakichangia ajenda

 









Comments

Popular posts from this blog

Ni TPHPA tena! yatwaa tuzo Mshindi wa Kwanza

TPHPA WAKABIDHIWA MAABARA YA KISASA ILIYOGHARIMU BIL.3.8, KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATOA MAAGIZO

Kanda ya Kaskazini yatolewa kimasomaso na TPHPA Mashindano ya SHIMMUTA 2024//Yatwaa Mataji Matatu huku ikiweka rekodi Maalumu