KAIMU MKUU WA SEHEMU YA USAJILI NA UDHIBITI WA VIUATILIFU AONGOZA KIKAO CHA KUANDAA BAJETI YA MAMLAKA YA 2023/24 JIJINI ARUSHA


Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Usajili na Udhibiti wa Viuatilifu Dkt Oshingi Shilla
, akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kuandaa bajeti ya Mamlaka ya 2023/24. Kikao hicho kimefanyika Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.












Sehemu ya Wajumbe wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania wakiwa kwenye kikao cha kuandaa Bajeti ya Mamlaka kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.


Na Innocent Natai

Kaimu Mkuu wa Sehemu ya Usajili na Udhibiti wa Viuatilifu Dkt Oshingi Shilla, Januari 18,2023 kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka amefungua kikao cha bajeti ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) ya mwaka 2023/24 kikao kilichojumuisha wakuu wa idara,vitengo na wakuu wa kanda kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya TPHPA  Jijini Arusha

Comments

Popular posts from this blog

Ni TPHPA tena! yatwaa tuzo Mshindi wa Kwanza

TPHPA WAKABIDHIWA MAABARA YA KISASA ILIYOGHARIMU BIL.3.8, KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATOA MAAGIZO

Kanda ya Kaskazini yatolewa kimasomaso na TPHPA Mashindano ya SHIMMUTA 2024//Yatwaa Mataji Matatu huku ikiweka rekodi Maalumu