Uongozi wa TPHPA na Wafanyakazi washiriki kuaga Miili ya Waliofariki katika Ajali iliyotokea Ngaramtoni Arusha

 
















Na Innocent Natai

Februari 27,2023 Katika Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPHPA Prof. Andrew Temu na wafanyakazi wa Mamlaka wameshiriki katika kuaga miili ya watu  kumi (10) kati ya ishirini na tano (25)waliofariki katika Ajali iliyotokea Jumamosi ya Februari 24, 2024 ikihusisha lori mali ya Kampuni ya KAY Construction ya Nairobi, Kenya na magari mengine madogo matatu, ilisababisha vifo vya watu 25 na kujeruhi wengine 21.

Comments

Popular posts from this blog

Ni TPHPA tena! yatwaa tuzo Mshindi wa Kwanza

TPHPA WAKABIDHIWA MAABARA YA KISASA ILIYOGHARIMU BIL.3.8, KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATOA MAAGIZO

Kanda ya Kaskazini yatolewa kimasomaso na TPHPA Mashindano ya SHIMMUTA 2024//Yatwaa Mataji Matatu huku ikiweka rekodi Maalumu